Hivi "Weusi" wanaimba lugha gani wadau kwenye nyimbo zao?

Ongeza na hizi

Fasi ya dwasi

Paringi

Arifu

Soro

Mdwanzi
Nitakutajia nayofahamu kama ifuatavyo:

Paringi- Hii inamaanisha ugomvi wa ngumi mara nyingi baina ya watu wawili!

Arifu- Hili ni neno lenye maana sawa na jamaa, rafiki, mwana, mchizi, msela, chalii! Hutumika kirahisi kwenye kusalimiana,

Soro- Hili neno humaanisha mshamba, fala, boya nk!

Mdwanzi- Tafsiri yake ni mtu mzinguaji, asieleweka ama mkwamishaji mipango, mvurugaji taratibu!

Fasi ya Dwasi - Hili sina maelezo yake ila machalii wa arachuga watakujaga na hio tafsiri kamili!
 
Haaaaa si ndo wanaume wa dar mademu wa arush tunawatumia naulii wanakuj dar hahaaahaaaahaaaaahaaahaaaaas
 
Hatuteseki ila tunajua wanaume wa mikoani hamuwezi kumaliza siku bila kututaja sisi wazee wa kimoja chalii lakini ndo tunafukua mitaro ya ak8na amber rutty na dada zenu wengine wa kutoka huko mikoani...hatuteseki....
Aiseee 😂😂😂
 
Yaani ukisikiliza nyimbo zao, utasikia maneno kama;

Unenge

Swagire

Umekaa kile

Kiralu ralu(?)

Maole

- Yaani rejesta siyo rejesta, misimu siyo misimu na misemo siyo misemo.

Siyo Kiingereza wala Kiswahili

Anaejua jamani
Hizo ni wanchi wanchi njaro za arachuga arifu!
 
Hatuteseki ila tunajua wanaume wa mikoani hamuwezi kumaliza siku bila kututaja sisi wazee wa kimoja chalii lakini ndo tunafukua mitaro ya ak8na amber rutty na dada zenu wengine wa kutoka huko mikoani...hatuteseki....
Chalii aliyefukua mtaro wa Amber rutty ni mmeru yule.

Mmeru kafukua mtaro wa M-das-lam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…