Hivi wewe kwanini ni maskini na hauna hela hadi saizi?

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,335
Reaction score
9,286
Yaani kijumba cha milion 30 kinakushinda yaani unakaa kwa utulivu unawazaa utazani unawazia vitu vya maana kumbe unawazia kujenga unawazia kununua kigari cha milion 50

Yaan pesa ya kununulia boksa wewe unaumiza kichwa kuipata na wengine mnakesha kumwomba mungu akupe nyumba sijui nn mwanadam umekamilika unakushindwaje gari ya milion 800

Upo serius na maisha kweli ww ? Ni hivi
Utajiri ni kula na kusaza uzima usio na shaka haya matakataka sijui marange lover sijui ma vx ni tuvitu tu

Twakijinga kijinga sema mimi akili sina nawaza upumbavu ee mungu nisamehe

Semaa ameen wewe unawaza ujinga alafu unajiona wa maana lione kwanza
 
Sio kosa lako mfumo ndo umesababisha muishi MAISHA ya mashindano.
 
UMESHAPATA KAZI YA KULISHA MBWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…