Hivi wewe kwanini ni maskini na hauna hela hadi saizi?

Hivi wewe kwanini ni maskini na hauna hela hadi saizi?

Yaani kijumba cha milion 30 kinakushinda yaani unakaa kwa utulivu unawazaa utazani unawazia vitu vya maana kumbe unawazia kujenga unawazia kununua kigari cha milion 50

Yaan pesa ya kununulia boksa wewe unaumiza kichwa kuipata na wengine mnakesha kumwomba mungu akupe nyumba sijui nn mwanadam umekamilika unakushindwaje gari ya milion 800

Upo serius na maisha kweli ww ? Ni hivi
Utajiri ni kula na kusaza uzima usio na shaka haya matakataka sijui marange lover sijui ma vx ni tuvitu tu

Twakijinga kijinga sema mimi akili sina nawaza upumbavu ee mungu nisamehe

Semaa ameen wewe unawaza ujinga alafu unajiona wa maana lione kwanza
Unafikri wenye hela huwa wanaongea? Maskini ndio wana mambo ya kishenzi ya kujitapa kama hivi!
 
Back
Top Bottom