STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Ukienda sokoni kununua nyanya ukapata chache
zilizo oza, haukimbilii kuropoka kwamba nyanya
zote za siku hizi ni mbaya. Lakini ukiumizwa na
mwanaume mmoja tu, tena uliejichagulia
mwenyewe, unatoa azimio kwamba wote ni
wabaya. Hivi mzima kweli wewe?
Lala basi uamke kesho mapema, Manake tushakuchangia nauli urudi Mirembe