Hivi wewe ulivyoachwa na mpenzi wako alikwambia nini au ulivyomuacha ulimwambiaje?

Hivi wewe ulivyoachwa na mpenzi wako alikwambia nini au ulivyomuacha ulimwambiaje?

➡️➡️➡️ We ended whatever we had since last year 😳😳😳😭

Mama E. Mungu Anakuona haki ya nani maana mi bado nakupenda balaa! 😁😁👋

IMG_20250119_104409_979.jpg
 
Alisema halitaki penzi langu na ndio ilikuwa siku ya mwisho kuwasiliana nae
 
kupunguza mawasiliano na wewe ni wazi kuwa hakutaki tena.

Sikia hii; mawasiliano bora hujenga uhusiano madhubuti.
 
Back
Top Bottom