Hivi wewe ulivyoachwa na mpenzi wako alikwambia nini au ulivyomuacha ulimwambiaje?

Hivi wewe ulivyoachwa na mpenzi wako alikwambia nini au ulivyomuacha ulimwambiaje?

Umenikumbusha miaka miwili nyuma, demu tuliachana nae baada ya kusema kwenye show namchafua tu, nilijisikia vibaya tukaachana kimya kimya
 
Aliniambia nastahili kupata mke mzuri kuliko yeye, nikajua baasii nipo naye kimwili tu kuna mwamba tayar anamuendesha
 
huna utamu kama wa ex wangu,bora nirud kwake😕
Aisee watu wana roho ngumu, me huwa siwaprovoke women lakin i just go with the flow, she provokes me i stay quiet , she acts weird i stay quiet... akiona umekausha anakaa kimya na yeye.. akipigwa tukio ndio akili zinamrudi kwamba alikosea
 
Kama una uchu sana pesa na ukawa mchoyo wa sex tuna left tu wanawake wanataka pesa bila wajibu wao kwa mwanaume, anakupa bao moja na anakaa wiki3 au mwezi anategemea wewe ni mpenzi wake na akiomba pesa umpe thubutu, no sex no money, no satisfaction with sex no contract no continuation na left siku hio hio
 
Aisee watu wana roho ngumu, me huwa siwaprovoke women lakin i just go with the flow, she provokes me i stay quiet , she acts weird i stay quiet... akiona umekausha anakaa kimya na yeye.. akipigwa tukio ndio akili zinamrudi kwamba alikosea
Daaah aseeee yani kuna nyie mnaokaa kimya,kuna wale anakupa maneno machache ila makali balaa,pia kuna wale wananyamba balaa .
 
Daah nakumbuka aliniambia nayeye ana moyo wa nyama hana wachuma. Kama utani sikumuona iqra wangu. Mbwa yule bado nampenda hata ivyo ameolewa tyr.
 
Back
Top Bottom