Hivi wewe ulivyoachwa na mpenzi wako alikwambia nini au ulivyomuacha ulimwambiaje?

โžก๏ธโžก๏ธโžก๏ธ We ended whatever we had since last year ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ญ

Mama E. Mungu Anakuona haki ya nani maana mi bado nakupenda balaa! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘‹

 
Alisema halitaki penzi langu na ndio ilikuwa siku ya mwisho kuwasiliana nae
 
kupunguza mawasiliano na wewe ni wazi kuwa hakutaki tena.

Sikia hii; mawasiliano bora hujenga uhusiano madhubuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ