Jikinge wewe Kama wewe mkuu !!! Kila mtu sio wizara sio Nani kaufyata,,,, hata yale (mavitambaa """"in mfalme juha's voice ) wale wakubwa wanaogopa kuyavaa, hapa wanatetea ugali wao,,pia kuyavaa(according to wao wanaona Ni usaliti ))
Anyway , 5 Tena
Mimi ninachoona kwenye wizara ya afya ni lack of leadership basi na ndiyo maana nikasea tunahitaji waziri asiye dakitari, ambaye atajua kubalansi maagizo ya kisiasa na utaalamu kutoka kwa wataalamu.Jikinge wewe Kama wewe mkuu! Kila mtu sio wizara sio Nani kaufyata, hata yale (mavitambaa "in mfalme juha's voice ) wale wakubwa wanaogopa kuyavaa, hapa wanatetea ugali wao,,pia kuyavaa(according to wao wanaona Ni usaliti )
Anyway , 5 Tena
Ni wizara pekee ambayo mume wa waziri anafahamika kuliko katibu mkuu wa wizara...Mimi ninachoona kwenye wizara ya afya ni lack of leadership basi na ndiyo maana nikasea tunahitaji waziri asiye dakitari, ambaye atajua kubalansi maagizo ya kisiasa na utaalamu kutoka kwa wataalamu.
kila mmoja aone yake yametimizwa.