mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Naomba kujua iwapo Mabingwa wa historia Yanga iwapo bado wanaongoza kundi lao baada ya kuifanga Rayon ya Rwanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya anayopost hapa ndio matokeo ya Kirumba...hakuna anayerukwa na akili bila sababu mzeeWeee, pambana na ya Kirumba kwanza
Hapana anaongoza simba na Leo alikuwa anacheza na mbaoNaomba kujua iwapo Mabingwa wa historia Yanga iwapo bado wanaongoza kundi lao baada ya kuifanga Rayon ya Rwanda?
Umeumia mkuu ndio mpira simba kafungwa unachekelea Yanga ukikumbushwa unasema bangi uwe mvumilivuBhangi za chooni mbaya
Ukikung'utwa lazima zirukwe na akiliHaya anayopost hapa ndio matokeo ya Kirumba...hakuna anayerukwa na akili bila sababu mzee
BukuMkuu Mbao zinauzwa bei gani Mwanza.....