Hivi yanga haina wachezaji wa kusaidia kuzindua jezi?

Hivi yanga haina wachezaji wa kusaidia kuzindua jezi?

Vilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi atavaa manara uwanjani? Mwisho yanga watengeneze timu wasitengeneze mtu.
chokochoko haziwaishi mtani?
 
Huu ni uzi wa karibu 20 kuhusu yanga.

Na hizi jezi zitauzwa zote..
 
Back
Top Bottom