hivi yanga hamuoni tatizo ni milioni 600 za caf?

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
ukweli kwamba manji harudi ushaoenakana,mwenyewe anapigania business zake,anahamia zambia bado majitu yanakazania ni mwenyekiti wao aendelee kuwaga mipesa
hapa wajanja wanasubiri ule mzigo wa milioni 600 wa caf ufike waseme club ilikuwa na mdeni,wapige wasepe thats why wanatuma watu kufanya vurugu ili ku buy time uchaguzi uchelewe
 
Yanga kuna majizi...Bilioni ya Sport pesa,Milioni 600 CAF,Milioni 250 bonus ya kuingia makundi kutoka Sport pesa,Azam TV m 200,,Maji ya Afya m100,pesa ya milangoni,jezi hawataki kuuza...Takukuru nasikia harufu ya mijizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…