Master of Cards
Member
- Dec 29, 2024
- 24
- 25
okay tufanye Yanga wanamakosa na ndio waliosababisha mchezo kuvunjika sasa inakuaje inapangwa tarehe mpya ya mechi bila hatua wala adhabu kutolewa? Ikitokea tarehe 15 mabaunsa wakawazuia 5imba tena getini itakuaje?Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma!
Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao;
Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi msingi wa wanachopigania.
Je, ni kuahirishwa mechi trh 8 Mar? Hilo mbona wamejibiwa sana na sababu zipo wazi - vurugu za mabaunsa kuzuia mazoezi ya Simba. Pia ni mamlaka halali ya Bodi ya Ligi.
Je, ni kuukata uongozi wa TFF? Huu ndio utaratibu wa kuondoa uongozi madarakani??? Mbona mechi nyinginezo wanashiriki.
Naomba kujua hasa sababu za Yanga kufikia hadi kupingana na maamuzi ya CAS yaliyowataka kwenda TFF.
Sawa nyie wenye akili walaka wenu ulisema hamta cheza mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe sasa leo mnataka kucheza bila hatua yoyote kuchukuliwa na hamjioni kama ni mbumbumbuTimu limejaa Wajinga tu lile
Ndio maana Hata Viongozi wao Wanatumia Ujinga wa mashabiki wao
Tushapiga lile meneja lenu la mchongo chin..sema jingineokay tufanye Yanga wanamakosa na ndio waliosababisha mchezo kuvunjika sasa inakuaje inapangwa tarehe mpya ya mechi bila hatua wala adhabu kutolewa? Ikitokea tarehe 15 mabaunsa wakawazuia 5imba tena getini itakuaje?
mna taka adhabu kwa kosa gani?okay tufanye Yanga wanamakosa na ndio waliosababisha mchezo kuvunjika sasa inakuaje inapangwa tarehe mpya ya mechi bila hatua wala adhabu kutolewa? Ikitokea tarehe 15 mabaunsa wakawazuia 5imba tena getini itakuaje?
Madai ni kuwa uhuni sasa basi.Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma!
Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao;
Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi msingi wa wanachopigania.
Je, ni kuahirishwa mechi trh 8 Mar? Hilo mbona wamejibiwa sana na sababu zipo wazi - vurugu za mabaunsa kuzuia mazoezi ya Simba. Pia ni mamlaka halali ya Bodi ya Ligi.
Je, ni kuukata uongozi wa TFF? Huu ndio utaratibu wa kuondoa uongozi madarakani??? Mbona mechi nyinginezo wanashiriki.
Naomba kujua hasa sababu za Yanga kufikia hadi kupingana na maamuzi ya CAS yaliyowataka kwenda TFF.
aliyeanza uhuni nani?Madai ni kuwa uhuni sasa basi.
SIMBA&BODIYALIGI&TFFaliyeanza uhuni nani?
Wale wahuni wafuga chawaaliyeanza uhuni nani?
na makwenzi ya kuwatuliza akili wangepewaHata haieleweki mkuu,
Ndio maana CAS badala ya kuwatukana wakayafuta madai yao.
Wakawaambia tu kistaarabu wamekosea ila ingekuwa kimtaa mtaa wangewatukana.
Na mitama.na makwenzi ya kuwatuliza akili wangepewa
na wale makomandoo wenu waliizuia simba asiingie kufanya mazoez hawajafanya uhuni?SIMBA&BODIYALIGI&TFF
Mechi wanayosema hawachezi ipo June 15, unazungumzia mechi gani?okay tufanye Yanga wanamakosa na ndio waliosababisha mchezo kuvunjika
Kama hakukua na kosa mechi iliahilishwa kwa sababu gani?mna taka adhabu kwa kosa gani?
Ukilewa usiingie JFMechi wanayosema hawachezi ipo June 15, unazungumzia mechi gani?