Hivi Yanga madai yao ni nini?

Kule wamejaa wajinga, mawakili wao waliwaaminisha wakienda cas watapewa pointi tatu na kufidiwa gharama madai ambayo yalikataliwa.
Walipewa maelekezo na cas Nini cha kufanya Ila kwa ujinga wao wamekaidi wakakimbilia serikali ambako wamepigwa chini.
Wanataka kuwatumia wabunge wao lakini wakakutana na ubaya ubwela.
Wamebaki kutapatapa na kusema hawachezi huku wakitolea macho viporo vya Simba Ila kiwango chao cha akili kitaoneka tarehe 15 June Kama kweli watashikilia msimamo wao.
 
Hawa hawana tofauti na mbwa wenye kichaa cha mbwa, wanajua ni kubweka ovyo tu.
 
MaSwali kama haya hulizwa huku jamii forum na watu wenye akili , na sasa wanaojibu sasa akili zao wanachokijibu ni aibu
 
okay tufanye Yanga wanamakosa na ndio waliosababisha mchezo kuvunjika sasa inakuaje inapangwa tarehe mpya ya mechi bila hatua wala adhabu kutolewa? Ikitokea tarehe 15 mabaunsa wakawazuia 5imba tena getini itakuaje?
Walioahirisha mechi ndio waliopanga tarehe nyingine ya mechi, sasa wajitoze faini wao wenyewe? Ukitaka kuona faini subiri yanga wasitokee hiyo tarehe 15 kama wanao huo ubavu.

Vv
 
Kamuulize aliyekutuma
 
Walioahirisha mechi ndio waliopanga tarehe nyingine ya mechi, sasa wajitoze faini wao wenyewe? Ukitaka kuona faini subiri yanga wasitokee hiyo tarehe 15 kama wanao huo ubavu.

Vv
Basi wakacheze wao na mbumbumbu ambao wanapelekwa pelekwa tu sisi hatuna timu ya kufanya ujinga huo
 
Hata match ya mwaka juzi kama sijakosea ilisogezwaga tu masaa kadhaa wakakataa kucheza..😂
 
Kwanza tuwatafute waliotuzuia kufanya mazoezi ndio wametufikisha huku.🤣
 
Waliogopa kipigo sasa hivi wanajifanya wanataka kucheza, Mbumbumbu Team ni shida sana hawajui kama wao ndio waliosababisha yote haya wanajitoa ufahamu.
 
Yanga wanataka kujua kwanini Mechi iliahirishwa Tarehe 8?
 
Simba walishaharibu kila kitu hata ikichezwa hiyo Tarehe 15 sidhani kama itapendeza kama ambavyo ilikuwa ichezwe Tarehe 8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…