johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Simba ni timu ya WahindiAfricaine ni Simba?[emoji23]
Una maana wote ni wakushindwa?! ššNauliza tu ili nizidi kuwa mvumilivu kwa sababu CCM na Yanga wanafanana sana
Kuanzia mavazi hadi Matokeo kwenye kushindania Jambo lolote
Umesahau na mashabiki wake piaNauliza tu ili nizidi kuwa mvumilivu kwa sababu CCM na Yanga wanafanana sana
Kuanzia mavazi hadi Matokeo kwenye kushindania Jambo lolote
Ahsante sana bwasheeKumbe JF kuna mazuzu kiasi hiki?
Inatolewa hoja ya maana ila majibu yanayotolewa ni ya ajabu.
Yanga iliasisiwa na waasisi wa TAA/TANU kwa lengo la kuwezesha harakati za kupigania uhuru.
Ni kwamba, wakati wa ukoloni, mikusanyiko ya kisiasa ilizuiliwa ila mikusanyiko ya michezo iliruhusiwa.
Kwa hiyo Yanga ilianzishwa na TAA/TANU kwa lengo la kupata wasaa wa kujadili ajenda za kisiasa bila kujulikana na wakoloni.
Simba/Sandaland ilianzishwa na UTP-United Tanganyika Party, ambacho ni chama kilichounga mkono ukoloni na kupinga harakati za uhuru.
Kiufupi, muasisi wa bendera na rangi za Yanga ndiye mwanzilishi wa bendera na rangi za CCM, na ndiye mwanzilishi wa bendera ya Tanzania na ile ya South Africa pia ina mfanano na bendera ya Tanzania.
Kwa hiyo kufanana kwa Yanga na CCM siyo jambo la ghafla.
Mohamed Said njoo utusaidie kuweka mambo sawa.Kumbe JF kuna mazuzu kiasi hiki?
Inatolewa hoja ya maana ila majibu yanayotolewa ni ya ajabu.
Yanga iliasisiwa na waasisi wa TAA/TANU kwa lengo la kuwezesha harakati za kupigania uhuru.
Ni kwamba, wakati wa ukoloni, mikusanyiko ya kisiasa ilizuiliwa ila mikusanyiko ya michezo iliruhusiwa.
Kwa hiyo Yanga ilianzishwa na TAA/TANU kwa lengo la kupata wasaa wa kujadili ajenda za kisiasa bila kujulikana na wakoloni.
Simba/Sandaland ilianzishwa na UTP-United Tanganyika Party, ambacho ni chama kilichounga mkono ukoloni na kupinga harakati za uhuru.
Kiufupi, muasisi wa bendera na rangi za Yanga ndiye mwanzilishi wa bendera na rangi za CCM, na ndiye mwanzilishi wa bendera ya Tanzania na ile ya South Africa pia ina mfanano na bendera ya Tanzania.
Kwa hiyo kufanana kwa Yanga na CCM siyo jambo la ghafla.
Kwa hiyo upuuzi wa CCM ndiyo huu huu upuuzi wa Yanga. Sawa.Kumbe JF kuna mazuzu kiasi hiki?
Inatolewa hoja ya maana ila majibu yanayotolewa ni ya ajabu.
Yanga iliasisiwa na waasisi wa TAA/TANU kwa lengo la kuwezesha harakati za kupigania uhuru.
Ni kwamba, wakati wa ukoloni, mikusanyiko ya kisiasa ilizuiliwa ila mikusanyiko ya michezo iliruhusiwa.
Kwa hiyo Yanga ilianzishwa na TAA/TANU kwa lengo la kupata wasaa wa kujadili ajenda za kisiasa bila kujulikana na wakoloni.
Simba/Sandaland ilianzishwa na UTP-United Tanganyika Party, ambacho ni chama kilichounga mkono ukoloni na kupinga harakati za uhuru.
Kiufupi, muasisi wa bendera na rangi za Yanga ndiye mwanzilishi wa bendera na rangi za CCM, na ndiye mwanzilishi wa bendera ya Tanzania na ile ya South Africa pia ina mfanano na bendera ya Tanzania.
Kwa hiyo kufanana kwa Yanga na CCM siyo jambo la ghafla.
Vipi kuhusu BAKWATA iliyoanzishwa na Paulo Bomani akishirikiana na Nyerere ?Kumbe JF kuna mazuzu kiasi hiki?
Inatolewa hoja ya maana ila majibu yanayotolewa ni ya ajabu.
Yanga iliasisiwa na waasisi wa TAA/TANU kwa lengo la kuwezesha harakati za kupigania uhuru.
Ni kwamba, wakati wa ukoloni, mikusanyiko ya kisiasa ilizuiliwa ila mikusanyiko ya michezo iliruhusiwa.
Kwa hiyo Yanga ilianzishwa na TAA/TANU kwa lengo la kupata wasaa wa kujadili ajenda za kisiasa bila kujulikana na wakoloni.
Simba/Sandaland ilianzishwa na UTP-United Tanganyika Party, ambacho ni chama kilichounga mkono ukoloni na kupinga harakati za uhuru.
Kiufupi, muasisi wa bendera na rangi za Yanga ndiye mwanzilishi wa bendera na rangi za CCM, na ndiye mwanzilishi wa bendera ya Tanzania na ile ya South Africa pia ina mfanano na bendera ya Tanzania.
Kwa hiyo kufanana kwa Yanga na CCM siyo jambo la ghafla.
Na CCT ikaanzishwa na Mfaume Kawawa akiwa waziri mkuu.Vipi kuhusu BAKWATA iliyoanzishwa na Paulo Bomani akishirikiana na Nyerere ?
View attachment 2405223
hayo mengine yakoNa CCT ikaanzishwa na Mfaume Kawawa akiwa waziri mkuu.
Ya bakwata nayo yakwako.hayo mengine yako
Acha kuifananisha Yanga na huo uchafu wako.Nauliza tu ili nizidi kuwa mvumilivu kwa sababu CCM na Yanga wanafanana sana
Kuanzia mavazi hadi Matokeo kwenye kushindania Jambo lolote
Hili halina mjadala! Na ndiyo maana hata mwekezaji wao anatokea Bombay.Simba ni timu ya Wahindi
Utopolo bure Kabisa bwasheeAcha kuifananisha Yanga na huo uchafu wako.
Na mwekezaji wa Yanga anatoka YemenHili halina mjadala! Na ndiyo maana hata mwekezaji wao anatokea Bombay.
Ah wap nyie wote dugu moyaAcha kuifananisha Yanga na huo uchafu wako.
Una matatizošUmesahau na mashabiki wake pia
Mohamed Dewji, Kassim Dewji, Azim Dewji, SAGAI GALGANO Dewji, pwilo Dewji, OKW BOBAN SUNZU Dewji, Kalpana Dewji, Scars Dewji, Fatma Dewji!!Na mwekezaji wa Yanga anatoka Yemen