Wanayo na mwaka huu wamesajili hatariMh[emoji25]View attachment 2339217
Dah! Hiki kifaa ni hatari , weka mbali na watoto[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mh[emoji25]View attachment 2339217
Sio vizuri kumtania mtu kwa maumbile yake.Mh[emoji25]View attachment 2339217
Hata kenge ni mnyama piaSio vizuri kumtania mtu kwa maumbile yake.
Pia mabibi wana thamani tuache kashfa jamani.
Mimi ni mnyama ila sijapenda
Mashabiki wa Simba tumerudi kwenye mambo yetu kama ilivyokuwa kabla ya tarehe 13 nyuzi kama hizi zilijazana humu baada ya kijadili timu yetu na kutoa ushauri kea viongozi baada ya kilichotokea kwa mkapa tulichikiza na nyuzi za malalamiko na migomo.Uzi wa kitoto huu.
Sura ngumuuuMh[emoji25]View attachment 2339217
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo sio bibi, ni TShishimbi box to box
Akuna mkaka mwenye komwe,makomwe unayakuta kwa wadada tu.Si ni mkaka?
Unapojadili uumbaji wa MUNGU uwe na uhakika kwamba hukuumbwa na MUNGU huyo huyo,.[emoji1745]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app