Hivi yanga wana timu ya wabibi pia?

Hivi yanga wana timu ya wabibi pia?

Anaitwa shishimbi ndyo streka tegemezi uko utopoloni B
Huyu hata akicheza peke yake anawafunga hawa takataka MAKOLO
images%20(15).jpg
 
Mashabiki wa Simba tumerudi kwenye mambo yetu kama ilivyokuwa kabla ya tarehe 13 nyuzi kama hizi zilijazana humu baada ya kijadili timu yetu na kutoa ushauri kea viongozi baada ya kilichotokea kwa mkapa tulichikiza na nyuzi za malalamiko na migomo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom