Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Huyu hata akicheza peke yake anawafunga hawa takataka MAKOLOAnaitwa shishimbi ndyo streka tegemezi uko utopoloni B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hata akicheza peke yake anawafunga hawa takataka MAKOLOAnaitwa shishimbi ndyo streka tegemezi uko utopoloni B
Yaani Yanga imesajili kuliko timu ya MAKOLO wanaume[emoji23][emoji23][emoji23]Wanayo na mwaka huu wamesajili hatari
Tatizo umeletwa na vitoto ambavyo havijabaleheUzi wa kitoto huu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa Simba tumerudi kwenye mambo yetu kama ilivyokuwa kabla ya tarehe 13 nyuzi kama hizi zilijazana humu baada ya kijadili timu yetu na kutoa ushauri kea viongozi baada ya kilichotokea kwa mkapa tulichikiza na nyuzi za malalamiko na migomo.
Pacha wa Onyango[emoji23][emoji23][emoji23]Si ni mkaka?
Maskini MAKOLO[emoji23]Mh[emoji25]View attachment 2339217