Hivi Yeriko Nyerere kwenye Mijadala ya Kwenye Media anamwakilisha Mbowe kama mgombea au anawakilisha Chadema kama chama?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM

Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya mwenyekiti?

Nimekaa pale 🐼
 
Vyote viwili kwa pamoja.
 
all in all yanga hafuzu, kutana na sultan bin mbowe king'ang'anizi.
IMG-20241206-WA0083(1).jpg
 
mh yeriko nyerere....?? hastahili kuitwa mheshimiwa huyo jamaa
 
Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM

Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya mwenyekiti?

Nimekaa pale 🐼
Sasa kama Erythrocyte ameamua kukaa kando na kushuhudia mpambano, ulitaka nani awe chawa wa Mbowe?
 
Back
Top Bottom