johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vyote viwili kwa pamoja.Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM
Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya mwenyekiti?
Nimekaa pale πΌ
Kutoka PK hadi Mshana πππVyote viwili kwa pamoja.
Lissu kapotezwa na mariamh yeriko nyerere hastahili kuitwa mheshimiwa huyo jamaa
Surat Maria πππLissu kapotezwa na maria
Halafu moderator huyu mdini sanaSurat Maria πππ
Sasa kama Erythrocyte ameamua kukaa kando na kushuhudia mpambano, ulitaka nani awe chawa wa Mbowe?Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM
Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya mwenyekiti?
Nimekaa pale πΌ
Lucas Mwashambwa ππ₯Sasa kama Erythrocyte ameamua kukaa kando na kushuhudia mpambano, ulitaka nani awe chawa wa Mbowe?
Huyo yupo anabubujikwa na machozi ya furaha kwa Mama kuwa na mapumziko mazuri Kizimkazi! ππππLucas Mwashambwa ππ₯