Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Japo tunaambwa Yesu alizaliwa kwa miujiza, haitwi mwana wa miujiza bali mwana wa Mungu. Waarabu wanamwita mwana wa Mariam. Ukiangalia geneology au mti wa ukoo wake, Yesu ni mwana wa Joseph.
Hii kidoto inachanganya. Je, Yesu ni mwana wa Maria au mwana wa Mungu? Je, utata huu unaweza kutafsirika kama nini? Mosi, uongo?
Pili, kutojua, Tatu, ubabaishaji? Nne, utata? Tano, fumbo?
Hebu wanangu tudadavue pamoja tafadhali.