Naona mmeanza kutafuta majina kama yanga iliyocheza leo ndio ile mliyoitegemea au imeingia nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asili ya jina KARIAKOO NI CARRIER CARGO......... babu zetu waswahili walishindwa kulitamka hilo likashamiri KARIAKOO, sawa na hiyo niYOUNG ni neno la kigeni WASWAHILI BABU ZETU WAKALITAMKA YANGA......Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?
Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina la YANGA?
Katika Lugha, kuna kitu kinaitwa nativism, yaani neno linachukuliwa kutoka kwenye lugha X kwenda kwenye lugha Y bila kubadilika matamshi yake, isipokuwa mofolojia yake tu hubadilishwa kidogo kuendana na asili ya lugha Y. Kwa mfano. Neno 'Kariakoo', lilichukuliwa kutoka Kingereza 'Carrier Corps'. Kwa nini haikuitwa wapagazi?Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?
Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina la YANGA?