Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
WAkuu kuna yule OCD wa Chunya aliyeelekeza kuwa bodaboda na Bajaj wasiuziwe mafuta zaidi ya lita mbili kisha polisi wenzie kuja kumakana na kuanzisha uchunguzi. Je, wamefikia wapi?
Mana jambo ndiyo lina happen kesho.
Pia soma PostGE2025 - Polisi Chunya: Kuelekea Desemba 9, Bodaboda na Bajaj wasiuziwe petroli zaidi ya lita 2, wanayatumia kuchoma majengo na miundombinu
Mana jambo ndiyo lina happen kesho.
Pia soma PostGE2025 - Polisi Chunya: Kuelekea Desemba 9, Bodaboda na Bajaj wasiuziwe petroli zaidi ya lita 2, wanayatumia kuchoma majengo na miundombinu