S Sijapewa username bado JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 1,775 Reaction score 2,891 Dec 8, 2025 #1 WAkuu kuna yule OCD wa Chunya aliyeelekeza kuwa bodaboda na Bajaj wasiuziwe mafuta zaidi ya lita mbili kisha polisi wenzie kuja kumakana na kuanzisha uchunguzi. Je, wamefikia wapi? Mana jambo ndiyo lina happen kesho. Pia soma PostGE2025 - Polisi Chunya: Kuelekea Desemba 9, Bodaboda na Bajaj wasiuziwe petroli zaidi ya lita 2, wanayatumia kuchoma majengo na miundombinu
WAkuu kuna yule OCD wa Chunya aliyeelekeza kuwa bodaboda na Bajaj wasiuziwe mafuta zaidi ya lita mbili kisha polisi wenzie kuja kumakana na kuanzisha uchunguzi. Je, wamefikia wapi? Mana jambo ndiyo lina happen kesho. Pia soma PostGE2025 - Polisi Chunya: Kuelekea Desemba 9, Bodaboda na Bajaj wasiuziwe petroli zaidi ya lita 2, wanayatumia kuchoma majengo na miundombinu