... inasikitisha sana! Halafu kuna wizara kongwe tena kongwe kweli kweli ya elimu wala hawana habari kama ni tatizo.Hapana Kiswahili sio official teaching language,official medium of instruction kwa tanzania kuanzia elimu ya Sekondari hadi chuo kikuu ni English...
... Mkuu, mojawapo ya matatizo makubwa ni misingi mibovu kuanzia elimu za awali. Kiingereza kinafundishwa kama somo kuanzia la tatu hadi la saba tena na walimu wasio na ujuzi wa kutosha wa hiyo lugha. Kuanzia F-1 ndio kinaanza kutumika kama lugha ya kufundishia kupitia walimu wale wale wenye misingi mibovu ya lugha zaidi ya topic alizokariri miaka na miaka na sisi tunakaririshwa hivyo hivyo!Wanafunzi wa vyuo vikuu Afrika Mashariki iliyotaealiwa na mwingereza na kufanya mitihani ya Cambridge na East Africa School Certificate tegemea uwezo wao itakuwa sawa vinginevyo kuna tatizo kwenye nchi husika.
Cobra squad iliiisha baada ya yule dem police .kufa kwa ajali ya motoNi kama cobra squad sjui iliishia wap?
Its not over until its over...[emoji769]
... halafu kuna wajinga wachache wanataka kuishawishi jamii Kiswahili kitumike kama lugha rasmi ya kufundishia hadi PhD!Hivi wewe unakijua kiswahili unakisikia?
Soma kitabu cha "mtawa mweusi" or "the black hermit" kama utakielewa kwa lugha ya kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli maswali in live sema wnaunganisha unapomaliza first segment mnapumzika kuendelea na segment nyingine ... Mimeshiriki na tulikuwa chuo cha kwanza from Tanzania kufika quarter final
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?
Yes, maswali yalikuwa yanatolewa. Sema yalikuwa mengi sanaaa, kama miezi mi3 kabla ya challenge.
Mfano mmepewa maswali elfu 3 utakumbuka yote? Kama unakumbuka kulikuwa na categories, kwahiyo walikuwa wanagawana kwa category hii itakuwa ya flani, hata anapouliza mnajua hili ni la huyu.
Mkuu hebu tupe info zaidTulilazwa by then millenium towers..room $250, ilikuwa experience nzuri sana.
Wape elimu. Kilikuwa chuo cha kwanza na pekee toka Tz
Mdau, naomba kuweka kumbukumbu sawa ,
Sijajua umeshiriki mwaka gani , lakini mimi nilishiriki , inaugural event ya mwaka 2007 , ambapo vyuo viwili vya Tanzania Mzumbe, ikiongozwa na Prof Kamuzora, ambaye alikuja kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na sasa ni RAS Kagera kama sikosei na UDSM ikiongozwa na Dr Laurean Ndumbaro, ambaye sasa ni Katibu Mkuu Utumishi, vyote UDSM na Mzumbe viliingia robo fainali , mwaka huo event hii ilikuwa Inaitwa Celtel Africa Challenge, baada ya Celtel kubadili jina ndo ikaitwa Zain Africa Challenge.
Ni kweli klikuwa moja kati ya vipindi bora sana kwenye TV, kwa jinsi nilivyosikia ni Kuwa Airtel , hawakutaka kuendelea kutoa pesa ya kudhamini kipindi hiki na gharama zingine za production kwenda kwa Richard Reid Productions ya Marekani ambao ndio walikuwa wanahusika na kurekodi kipindi, kama walivyofanya wenzao Zain na Celtel. Nami nimekuwa najiuliza sijui kwa nini kampuni Kubwa kama Coca Cola au Matajiri wanaopenda kuendeleza Social Enterprises na Education Initiatives kama kina Tony Elumelu hawajajitoekeza kudhamini kipindi hiki.
Maswali yalikuwepo mnapewa CD yalikuwa mengi category tofauti tofauti tulichokuwa tunafanya tunaangalia categories then tunajisomea kupata general knowledge...Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?
Yes, maswali yalikuwa yanatolewa. Sema yalikuwa mengi sanaaa, kama miezi mi3 kabla ya challenge.
Huu ni uongo sidhani kama ulishiriki...Mfano mmepewa maswali elfu 3 utakumbuka yote? Kama unakumbuka kulikuwa na categories, kwahiyo walikuwa wanagawana kwa category hii itakuwa ya flani, hata anapouliza mnajua hili ni la huyu.
Watu na Data zao. Ngoja aje abishe tena ntu hakuwahi hata kuvaa T-shirt ya Zain halafu anataka kuleta data za uongo hapa.Huu ni uongo sidhani kama ulishiriki...
Kuna phase(awamu) tatu na kila moja ina category zake na hizi mnaoneshwa dk 10 kabla ya mchezo kuanza so mnaangalia category na mnagawana kutokana na uwezo wenu nani aanze nani afuatie.... Swali LA msingi unajibu wewe uliekua kwenye buzzer bonus question mnaruhusiwa kushare ila isizidi sekunde 15... Na mwisho kulkuwa na ultimate challenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio lugha sababu Mel. John Okumu akiwasomea swali na nyie mnaliona kwenye screen, unaweza ukawa umeshaelewa swali kabla hajamaliza kusoma tatizo ni content katika Elimu yetu... Kwa mfano kulikuwa na swali umawekewa picha utaje ni ua gani I have no idea, ila teammate wangu aliyesoma Kenya aliyapata sababu alisema hayo walikuwa wanafundishwa shuleni... Na ukiangalia maswali mengi ni general knowledge ila Elimu yetu haina hizo issue ingekuwa sio udadisi wetu na kuwa tunapenda kujisomea vingi tusingejua.. Kwa upande wangu knowledge ya vitu vingi vile ilitokana na Mimi kuwa napenda kujisomea sana kuna kipindi nilikuwa nmesoma vitabu vyote vilivyoko maktaba ya chini Arusha LibraryHapana sio ubovu wa elimu bali to be specifically ilikua tatizo la lugha yaani English.
Shindano hilo lilipoteza mvuto baada ya Tanzania kila mara kushika mkia hivyo washindani wakawa ni walewale Kenya na Uganda.
Category sawa, ila sio maswali yenyewe. Nakumbuka tulikuwa tunatumia encarta kufanya mazoezi