Hivi Zanzibar hakuna vivutio vya waarabu vya kuwauzia, why mnauza vivutio vya TANGANYIKA tu

Wa Oman baada ya ndugu zao kuuwawa kubakwa kufukuzwa na ku yang'anywa kila kilio chao kwenye mapinduzi (matakatifu?) hawarudii kosa.
 
Nyie akina Kabudi, na kampuni yako. Kama siyo nyinyi, basi wanaonufaika na uhujumu wenu huu kuna siku mtajibu kwa watanganyika.

Mnabariki kuuza kila kitu as long as mnanufaika!

Time will tell!
Tanganyika ni shamba la bibi. Yeyote na yote ruksa!
 
Watanganyika wakishiba ugali wape burudani ya derby au diamond na zuchu halafu malizia tamasha la maombi kawę Ushapiga anasthesia unakomba chochote tu na hawaamki hadi wasikie harufu ingine ya ugali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…