Kwa uelewa wangu mimi, najua Selikali ya umoja wa kitaifa huundwa na vyama vyote ambavyo vinahusika katika kukamilisha uchaguzi mkuu wa vyama vingi, ninapo sema hivyo namaanisha vyama vyote viwe na muwakilishi kama si wawakilishi katika selikali kuu.
Sasa hapa Zenji kama si changa la macho what is that? naomba mfafanuo wa kilichofanyika zenji,, kama ni umoja wa vyama viwili yaani CCM na CUF? na vyama vingine vinanafasi gani? au havina nafasi,,
Mi naona hawa jamaa wamefunga ndoa sasa wanataka Mapenzi yao waiaribu nchi ya Zenj
Hakuna serikali zanzibar.....ni utawala tu.....Serikali ya kweli lazima iwe ina jeshi lake,balozi zake nchi zingine na banki kuu yake....Zanzibar haina hivi vitu....tupumzike wandugu
Safari umejibu vyema bwana lakini Whai is Selikali ya kitaifa?
Acha kuwashtua manake wakishtukia tu muungano nao mwisho...
Mkuu tatizo unang'ang'ana na jina badala ya 'kontentsi'
Issue sio vyama viwili ingawa ndio vilivyopelekea ikawa hivyo,
Kilichopo ni kwa mujibu wa katiba ni kuwa kama ikitokea vyama vikipishana kwa idadi flani ndogo ya kura na wabunge basi vitashirikiana kuunda serikali kwa mgawanyo uliowekwa thats all.
mfano uchaguzi ujao nccr ikipata 44% na cdm 53% basi chadema wataunda smz kushirikiana na nccr.
Natumai umepata picha
Still haiifanyi Zanzibar kuwa taifa....period...pale pan mfumo wa utawala...kwanza ni makosa kusema Serikali ya Mapinduzi(SMZ) wakati ni serikali iliyoletwa kwa kupiga kura...SMZ ni ile ya Karume ya 1964...baada ya 1995 haikuwepo tena......kwa kuwa vyama vingi vilirudi na uchaguzi wa kweli ulifanyika....labada kama waliipindua CUF iliyoshinda hiyo 1995........ukishapigisha kura watu basi dhana ya mapinduzi haipo tena
Safari umejibu vyema bwana lakini Whai is Selikali ya kitaifa?
Hakuna serikali zanzibar.....ni utawala tu.....Serikali ya kweli lazima iwe ina jeshi lake,balozi zake nchi zingine na banki kuu yake....Zanzibar haina hivi vitu....tupumzike wandugu
Aah Safari, serikali si lazima iwe na hayo yote. Hayo yapo kwenye DOLA. Mf. Je serikali yako ya mtaa ina hivyo vyote ulivyovitaja?