silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
- Thread starter
- #21
Jamani ee tuache ugomvi Maana naona huyo jamaa sijui ni mpemba kanikomalia sana sana, sikiliza ZAnzibar si Taifa, na wala si Nchi,, Nchi inayo Tambulika ni Tanzania kwasababu hta Tanganyika si nchi bali ni kajikitu kalikoungana na Zenj ikaunda Tanzania
Na kuhusu Muungano wa CCM na CUF unasema ni selikali ya umoja huo ni umasikini wa mawazo na ufukara wa Hekima ya kujituma kufikiria my fellows members, kwasababu maana ya selikali ya umoja wa kitaifa ni Ushiriki wa kila mtu kwa njia yeyote ile katika kuunda selikali, so ilitakiwa vyama vyote vipate nafasi, ndo tuite selikali ya uymoja wa Kitaifa,,]
ZANZIBAR NI SELIKALI YA UMOJA WA VYAMA VIWILI,,