Jamani ee tuache ugomvi Maana naona huyo jamaa sijui ni mpemba kanikomalia sana sana, sikiliza ZAnzibar si Taifa, na wala si Nchi,, Nchi inayo Tambulika ni Tanzania kwasababu hta Tanganyika si nchi bali ni kajikitu kalikoungana na Zenj ikaunda Tanzania
Na kuhusu Muungano wa CCM na CUF unasema ni selikali ya umoja huo ni umasikini wa mawazo na ufukara wa Hekima ya kujituma kufikiria my fellows members, kwasababu maana ya selikali ya umoja wa kitaifa ni Ushiriki wa kila mtu kwa njia yeyote ile katika kuunda selikali, so ilitakiwa vyama vyote vipate nafasi, ndo tuite selikali ya uymoja wa Kitaifa,,]
ZANZIBAR NI SELIKALI YA UMOJA WA VYAMA VIWILI,,
Naomba kuuliza hayo makubaliano walisign vyama vyote au vama viwili tuu? kwasababu Jahazxi asilia wanasema wao hawa kuhusishwa katika makubaliano hayo,,
Na katiba hiyo imebadilishwa lini mimi mbona hayo maamuzi yalifanyika hata vuguvugu la katiba halija fufuka na kuwa issue kama ilivyo sasa Tanzania?
Mna chuki binafsi tu ,yaani mmekaa kama malimbukeni hamjawahi kuona serikali za aina hii au vipi? Sasa Chama hakina hata muwakilishi wala mmbunge bado mnataka mshirikishwe ,nyie vipi ? Haya tutafika Maalim ndio huyo kaukwaa Umakamo tena wa kwanza ,Chadema mnagpigania umeya mnakuwa sijui ndo maraisi wa mikoa ,nasikia Slaa anataka kujiuzulu ?
Mkuu nilikua najaribu kumuelewesha mtoa mada juu ya hoja yake ya msingi, lakini naona sasa wewe umekomalia ile sio taifa wala serikali, tena unazidi kusema sio smz maana wamepiga kura tayari.
Kimsingi mimi nadhani unatatizwa na mfumo huu kwakua tu haujawahi tokea usa, uk, australia nk. Sehemu ambazo ndio unadhani tunapaswa kuwaiga kwa kila kitu.
Mkuu hivi ndivyo 'tulivyokubaliana' kuungana kutokana na mazingira yetu..
Nashindwa kuelewe unaposema sio ya mapinduzi tena kwakuwa wamepiga kura.
Unapaswa kujua kuwa moja ya sababu kubwa iliopelekea smz indelee kuwepo niwao kulinda neno mapinduzi