Hii ni mada nzuri msitake short cut tafuteni historia ya zanzibar kwa uchache fikeni pale makumbusho zanzibar mtapata walau mawili matatu kuhusu historia ya mwinyi mkuu, unguja ukuu na tumbatu na mengi sana pia mtajua kama zanzibar ilitawaliwa na wareno kwa kipindi fulani huko nyuma, na mkienda deep sana mtajua wafanyabiashara kutoka china, indonesia, india na mengi zaidi kuna Kilwa Chronicle hiki ni kitabu maarufu, and other books kama kitabu cha merger piece kinaitwa zanzibar Cosmopolitant island n.k fatilieni ibni batuta alivyowaongoza wareno kwenda cap vede, na kaizungumzia katika kamus lake nahisi kuna hitajiko kubwa la vijana wa leo kuisoma historia ya zanzibar, ndio kuna msemo ikipulizwa zumari zanzibar mpaka mpaka maziwa makuu wanacheza.