Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Najua kabla ya kuja kwa warabu au wareno walikuwepo watu wanaishi ila hatuna article yyte inayoelezea kwa kina na iliyoandikwa na wazawa.Suala liko very clear ila mimi nimekupa nukuu kwa sabau zanzibar ukitaka historia yake huwezi kuimaliza kwa kuandika article humu kwenye forum just find out utapata jibu kama zanzibar ilikua tupu au ilikua na watu you will get there ? na ujue zanzibar empire haukuanza kuja kwa muarabu laaa ilikuawepo tokea zamani just waarabu walikua ku extend mbele zaidi na kuifaya iwe imara zaidi so find out ?
Sisi wafrica tulikosea sana kutohifadhi historia yetu ktk maandishi halafu tuliwathamin sana watu weupe ndiyo maana majina yetu ya kiafrika hatuyaki.
Hiv kabla ya kuja mzungu kugundua ziwa victoria, je, hili ziwa lilikuwa linaitwaje? Je, watu walikuwa wanaishi maeneo ya ziwa victoria? Je, kwann wafrica walikubali kirahis sana jina hili la ziwa victoria litumike mpaka sasa?