DESIGNATED SURVIVOR
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 130
- 41
Mkuu mbona na ww umerudi pale pale?Hii ni mada nzuri msitake short cut tafuteni historia ya zanzibar kwa uchache fikeni pale makumbusho zanzibar mtapata walau mawili matatu kuhusu historia ya mwinyi mkuu, unguja ukuu na tumbatu na mengi sana pia mtajua kama zanzibar ilitawaliwa na wareno kwa kipindi fulani huko nyuma, na mkienda deep sana mtajua wafanyabiashara kutoka china, indonesia, india na mengi zaidi kuna Kilwa Chronicle hiki ni kitabu maarufu, and other books kama kitabu cha merger piece kinaitwa zanzibar Cosmopolitant island n.k fatilieni ibni batuta alivyowaongoza wareno kwenda cap vede, na kaizungumzia katika kamus lake nahisi kuna hitajiko kubwa la vijana wa leo kuisoma historia ya zanzibar, ndio kuna msemo ikipulizwa zumari zanzibar mpaka mpaka maziwa makuu wanacheza.
Not just ridiculous but jus too ridiculousKuanzia tourist information zao mpaka politics zao kila kitu ni baada ya kuja mwarabu toka Omani
This is just ridiculous na wenyewe ukakutana nao wanakwambia mwarabu kaja kukuta pako empty!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Niliwahi kusoma kitabu na ndani yake kuna hii sentensi...
"...Wazanzibar wanajiona kuwa Waarabu zaidi kuliko Waafrika..."
Chochote unachokiona Zanzibar au kilichoandikwa basi lazima Mwarabu ana mkono wake.
Niliwahi kuuliza nilipokuwa Mkoani Pemba, hivi kabla ya Mwarabu kulikuwa na namna yoyote ya maisha hapa (Pemba) jibu nililopewa ni kuwa ilikuwa ni sehemu tu mapumziko ya wavuvi.....
Unajua wabongo hatupendi kuelewa swali.Mkuu mbona na ww umerudi pale pale?
Tunahitaji historia ya zanzibar kabla ya kuja warabu au wareno
Siyo hatupend. ukweli iliopo ss wafrica hatuna history yyte.Unajua wabongo hatupendi kuelewa swali.
Khaswa !! mababu zangu walinuku ukweli huu, kisiwa kitupu hata jina hali... kuwa palikuwa EMPTY... minazi na mawibi ya bahari hindi tuu !!!Kuanzia tourist information zao mpaka politics zao kila kitu ni baada ya kuja mwarabu toka Omani
This is just ridiculous na wenyewe ukakutana nao wanakwambia mwarabu kaja kukuta pako empty!!!
Mipaka ilikuwepo ila sio present boundariesilukuwepo 880132 said:Wareno walitawala zanzibar kwa miaka 200 ndio wakaja waarabu kuwasaidia Wazanzibari na kuwaondoa Wareno. Swali jee nchi za Africa zilikuwa na mipaka kabla ya wakoloni au?
Usiseme uwongo mchana tena kweupe nani kakwambia upuuzi huo. Hoja yako haikupaswa kuwekwa kwenye majadiliano kwenye ukumbi huu. Unachokiongolea ni akili za mtoto wa darasa la saba ya baada ya uhuru.Kuanzia tourist information zao mpaka politics zao kila kitu ni baada ya kuja mwarabu toka Omani
This is just ridiculous na wenyewe ukakutana nao wanakwambia mwarabu kaja kukuta pako empty!!!
Kuanzia tourist information zao mpaka politics zao kila kitu ni baada ya kuja mwarabu toka Omani
This is just ridiculous na wenyewe ukakutana nao wanakwambia mwarabu kaja kukuta pako empty!!!
Mkuu mbona na ww umerudi pale pale?
Tunahitaji historia ya zanzibar kabla ya kuja warabu au wareno[/QUOTE
niliwahi kusimuliwa kwa ufupi asili ya kisiwa cha pemba kuitwa PEMBA. huku Msumbiji kuna MJI ukiitwa hivyo pia , kumbe mji ule ambao wenyeji wake ni wavuvi ndio asili ya jina Pemba, kama walivyo wakoroni, kwa tabia ya unyanyasaji. baadhi ya watu walikimbia manyanyaso toka Pemba ya msumbiji hadi Zanzibar , walipofika pale bado wakaona bado ni karibu, huenda Mreno atatuma jeshi kwenda kuwakamata na kuwarejesha hivyo wakasonga mbele zaidi hadi kisiwani hapo, kwa wingi wao , pale walikuta watu wachache waliokuwa wakipiga kambi kwa ajili ya uvuvi tu, kisha wakimaliza kuvua wanatweka tanga na kuondoka kwa hiyo kulikuwa hakuna mwenyeji wa asili pale , wakimbizi wale wakaona mji huo utawafaa , wakashusha nanga na kuanza maisha yao pale . ndio asili ya KISIWA NA JINA LA PEMBAKuanzia tourist information zao mpaka politics zao kila kitu ni baada ya kuja mwarabu toka Omani
This is just ridiculous na wenyewe ukakutana nao wanakwambia mwarabu kaja kukuta pako empty!!!