Kama zarinah vile yani kwenda kumuona huku umevaa white kiingilio milioni....
Mambo ya carolight hayo.....
nmeona somewhere eti almanusra akamatwe huko singida akitoa rushwa ya thermosi na hotpot ha ha ha
Nimecheka bila kujielewa, duh hiyo rushwa mpya kali kuliko.Mambo ya carolight hayo.....
nmeona somewhere eti almanusra akamatwe huko singida akitoa rushwa ya thermosi na hotpot ha ha ha
Wakuu kujeni hapa tujuzane hivi yule shemeji yetu ZARI kaishia wapi?
Maana zilipigwa swaga kibao hapa mara harusi mara ana ujauzito mara hoooo, mara heee sijui Mlimani City mara pete ya uchumba na Mond.Ghafla ikawa kimyaaaaaaaaa.
Au karudi kwa katunzi?
Mheshimiwa kaamua kuwa uniqueNimecheka bila kujielewa, duh hiyo rushwa mpya kali kuliko.
Ni kweli si umeona wadada wanaojua kutumia majina yao.yani tulivalishwa nguo white utazani madokta na hamsini laki laki na mamilioni kwenda kumsapoti tu Zari wkt Zari alikuwa hamfikii Wema kwa umaarufu. We mtuu gani kutwa kugombania waume za watu yani anaishi kwa kutegemea uch.i.tumuombee apate huo ubunge maana huku mtaani hauzi michilizi ile mwili wote fumufumu atampa nani