Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Duuu kama hivyo ni hatareeHakuna ajira.
Tunajenga sgr kwanza
Jipe moyoZinatoka kesho
Usilete siasa kwenye maisha ya watuNadhan watakuja kuzitoa kama walivyo ahidi japo kutakuwa na kusubiria sana. Au zitatolewa ili kusafisha hali ya hewa ya jambo fulani la kisiasa ambalo linaweza kuhitaji kufichwa na jambo lingine.
Sijui kama umenielewa
Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta. Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo lifutwe na na waalimu waliochaguliwa majibu yawe pending mpaka hapo watakapo tangaza upya. Kwa maaana hiyo ajira za ualimu hazitakuwepo mpaka 2023 ukizingatia sasa hivi matoke ya wanafunzi ni mazuri hata wakikosa waalimu.
Kilichofanyika kuahidi ajira na zisitolewe ndio siasa yenyewe au wewe unaelewaje?Usilete siasa kwenye maisha ya watu
Sawa mkuu, kingine nini nijipe?Jipe moyo
Hiyo ilikuwa gia ya kutafutia kura. Kama ilivyo kupandishwa mishahara. Utapeli tapeli hivi hadi fedha za covid 19!Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta. Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo lifutwe na na waalimu waliochaguliwa majibu yawe pending mpaka hapo watakapo tangaza upya. Kwa maaana hiyo ajira za ualimu hazitakuwepo mpaka 2023 ukizingatia sasa hivi matoke ya wanafunzi ni mazuri hata wakikosa waalimu.
Ilikuwa ni zuga ya uchaguzi hakuna cha ajira wala jiraniUchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta. Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo lifutwe na na waalimu waliochaguliwa majibu yawe pending mpaka hapo watakapo tangaza upya. Kwa maaana hiyo ajira za ualimu hazitakuwepo mpaka 2023 ukizingatia sasa hivi matoke ya wanafunzi ni mazuri hata wakikosa waalimu.