Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DUHUchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta.
Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo lifutwe na na waalimu waliochaguliwa majibu yawe pending mpaka hapo watakapo tangaza upya.
Kwa maaana hiyo ajira za ualimu hazitakuwepo mpaka 2023 ukizingatia sasa hivi matoke ya wanafunzi ni mazuri hata wakikosa waalimu.