Hivi zile faini za tff pesa zinapelekwaga wapi??pelekemi kwa yatima na wajane

Hivi zile faini za tff pesa zinapelekwaga wapi??pelekemi kwa yatima na wajane

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hapa majuzi kati

Nimeonaaaa badhii yatimu zikipewaa mafaini kadhaa

Nawaza hiziz pesa zinaendaga waoi

Ushauri pesa kama hizi. Ziende kwa vituo vya yatima na wajane

Tusisubiri ngao ya jamiiii
 
Kwa hio mkuu unadhani matumizi ya tff yanatoka wapi?
 
Tff nayo inamatumizi kaka kuna kulipa mishahara watumishi wake kuna timu za taifa za wanawake na wanaume vijana na watoto ukumbuke izo zote azina wazamin
 
Back
Top Bottom