Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Sep 23, 2024 #1 Hapa majuzi kati Nimeonaaaa badhii yatimu zikipewaa mafaini kadhaa Nawaza hiziz pesa zinaendaga waoi Ushauri pesa kama hizi. Ziende kwa vituo vya yatima na wajane Tusisubiri ngao ya jamiiii
Hapa majuzi kati Nimeonaaaa badhii yatimu zikipewaa mafaini kadhaa Nawaza hiziz pesa zinaendaga waoi Ushauri pesa kama hizi. Ziende kwa vituo vya yatima na wajane Tusisubiri ngao ya jamiiii
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Sep 23, 2024 #2 Kwa hio mkuu unadhani matumizi ya tff yanatoka wapi?
A achuuuu Member Joined Jul 29, 2024 Posts 56 Reaction score 64 Sep 23, 2024 #3 Tff nayo inamatumizi kaka kuna kulipa mishahara watumishi wake kuna timu za taifa za wanawake na wanaume vijana na watoto ukumbuke izo zote azina wazamin
Tff nayo inamatumizi kaka kuna kulipa mishahara watumishi wake kuna timu za taifa za wanawake na wanaume vijana na watoto ukumbuke izo zote azina wazamin