Washaanza kuzitafuna!Au zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi?
Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote.
Nini kinaendelea kwa sasa kuhusu kampeni hiyo kwa faida ya wachangiaji na wadau wote wa JF?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mosi HAIKIHUSUAu zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi?
Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote.
Nini kinaendelea kwa sasa kuhusu kampeni hiyo kwa faida ya wachangiaji na wadau wote wa JF?π
Mungu Ibariki Tanzania
unaumiza ili ikusaidie nini wewe mwana Lumumba?Au zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi?
Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote.
Nini kinaendelea kwa sasa kuhusu kampeni hiyo kwa faida ya wachangiaji na wadau wote wa JF?π
Mungu Ibariki Tanzania
Update ya Mwisho CDM Dashboard ilikuwa inasoma 170m+ na FUTUHI za Chaumwa 11m+Au zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi?
Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote.
Nini kinaendelea kwa sasa kuhusu kampeni hiyo kwa faida ya wachangiaji na wadau wote wa JF?π
Mungu Ibariki Tanzania
Nashangaa wanaotolea mimacho program ya Tone tone ya cdm ni mbogambogaPagale la heche lishaezekwa paa, mafundi wakianza finishing ndani bakuli la tonetone litaendelea kutembezwa.
Yaani kuichangia Chauma ni sawa na kuichangia ccmUpdate ya Mwisho CDM Dashboard ilikuwa inasoma 170m+ na FUTUHI za Chaumwa 11m+
Haya mjibu uvccmwenzako maana mmelaanikaGentleman nimemiss hogo lako.
Hao Chaumwa wanaleta FUTUHI tu ,hakuna mTZ atakayeichangia zaidi ya wao wenyewe na waliowaagiza SISIEMU.Yaani kuichangia Chauma ni sawa na kuichangia ccm
hii si tangu last week gentleman?
Hakuna mtamzania mwenye akili ataichangia chaumaHao Chaumwa wanaleta FUTUHI tu ,hakuna mTZ atakayeichangia zaidi ya wao wenyewe na waliowaagiza SISIEMU.
Gentleman,Nashangaa wanaotolea mimacho program ya Tone tone ya cdm ni mbogamboga
Archana na mambo ya chama kubwa kinacho ihenyesha ccmGentleman,
mbona mnapotoshana kinyonge hivyo na wakati jambo hili ni la wazi na lipo kwenye public domain?π€£
msipanic bana,
kama hujui chochote kaa kimya tu wenye kufahamu wataeleza bila kuweweseka π
Narudia tena kuwa hakuna mtu wa kuichangia mbogambogagentleman,
huna haja ya kumpotosha mdau namna hiyo plz,
huo ni unyanyasaji wa kisaikolojia ujue na ni kosa kisheria π