binafsi sina haja na chama chochote cha siasa gentleman,Archana na mambo ya chama kubwa kinacho ihenyesha ccm
okay gentleman,Chadema zoezi linaendelea kama kawaida ndugu mdau kuhusu hao ccm b hainihusu
Au zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi?
Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote.
Nini kinaendelea kwa sasa kuhusu kampeni hiyo kwa faida ya wachangiaji na wadau wote wa JF?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ilikua ni J3, right gentleman?Update ya Mwisho CDM Dashboard ilikuwa inasoma 170m+ na FUTUHI za Chaumwa 11m+
CDM kinachangiwa na waTZ wote hadi wasiokuwa na vyama ila CHAUMWA wanachangiwa na wanachama wao na wanachama wa SISIEMU waliowapa hiyo project.kwani chama si watu gentleman,
au ulitaka kisiwe na watu wa kukichangia?🤣
kwani chadema inachangiwa na nani gentleman?🐒
hata nccr-mageuzi na cuf wakati ule zipo kwenye pick ya upinzani, walikuaga wanaisema chadema hivyo gentleman 🤣CDM kinachangiwa na waTZ wote hadi wasiokuwa na vyama ila CHAUMWA wanachangiwa na wanachama wao na wanachama wa SISIEMU waliowapa hiyo project.
Ila CDM imepita misukosuko mingi sana ya kuvunjwa lakini inazidi kuwa imara mpaka watawala wanaona warudishe mpira kwa KIPA.hata nccr-mageuzi na cuf wakati ule zipo kwenye pick ya upinzani, walikuaga wanaisema chadema hivyo gentleman 🤣
it's just a useless narrative of a sinking political party towards upcoming and ova taking political party in a modern times 🐒
hizo ni dhana tu gentleman ambazo kila mwanachama wa chama chochote cha siasa kadiri ya imani yake angeweza kueleza hivyo.Ila CDM imepita misukosuko mingi sana ya kuvunjwa lakini inazidi kuwa imara mpaka watawala wanaona warudishe mpira kwa KIPA.
SISIEMU wametumia kila mbinu kuiua CDM lakini wapi ,walimchukua hadi Dr Slaa lakini wameshindwa kuia CDM.
Wamewaiba makonki wa CDM kibao lakini bado CD M inazidi kupuyanga 120 kwenye kona shaa!
Kilichobaki ni Kurudisha mpira kwa KIPA ili wawasaidie.
Kwa CDM ilipofikia hata akiondoka HECHE(Ila huyu hawawezi kumrubuni) aningia Chuma kingine kinaendelea KUPELEKA MOTO.