CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Hata mimi nilihisi hilo I hope hakuna shida nyingine zaidi ya hiyo sasa leo kepteni ni kipa tukio liktokea ndani kwa mpinzani atatoka yeye kwenda kubishana?Zimbwe huwa hatokei kwenye matukio angalia mechi ya Simba na Prison iliyochezwa Rukwa, wakati wachezaji wa Simba wqakichezewa rafu na refa kukaa kimya ni Nyoni aliyekuwa akienda kumvaa refarii lakini Zimbwe alikuwa kimya.
Anajua english zaidi ya manula ambaye leo ni nahodha na kwenye order ni namba tanoZimbwe lugha anajua Kiswahili,not egg
Kwa kweli mimi sijawahi kumsikia akiongea. Hivyo wawezakuwa sahihi kuwa anajuaAnajua english zaidi ya manula ambaye leo ni nahodha na kwenye order ni namba tano
kwani yeye hana mababu na mabibi huko kwao ni kitu gani asichokijua soka la hapa bongo?Halafu mwenda anashindania namba na kapombe siyo zimbweSoon Israel atapigwa misumari kama alivyopigwa kwasi
Yap kwakua kipindi tukio kama hilo likitokea mpira una simama kwa mudaHata mimi nilihisi hilo I hope hakuna shida nyingine zaidi ya hiyo sasa leo kepteni ni kipa tukio liktokea ndani kwa mpinzani atatoka yeye kwenda kubishana?
Hata zimbwe mwenyewe angeshangaa......Zimbwe n kazi nyingi sana uwanjani nafikiri ndio maana kapunguziwa majukumu hata hvyo sidhani kama kuna ka mshahara ka u captain. Ningekuwa na nafasi ya kuonana na kosha mkuu ningemshauri Zimbwe akacheze namba nane pale
Naskia walikuwa watu wa manara😂😂😂😂Zimbwe mwenye mrembo wake mjini siku ya harusi watu wakampiga picha na tekno wereva
Mbona leo ( jana ) dhidi ya Dodoma Jiji FC Wachezaji wengi tu wa Simba SC wamechezswa Rafu ila Nahodha wa Siku Kipa Aishi Salum Manula wala alikuwa hajishughulishi Kuzungumza na Kumlaumu Mwamuzi ( Refa ) wa Mchezo?Zimbwe huwa hatokei kwenye matukio angalia mechi ya Simba na Prison iliyochezwa Rukwa, wakati wachezaji wa Simba wqakichezewa rafu na refa kukaa kimya ni Nyoni aliyekuwa akienda kumvaa refarii lakini Zimbwe alikuwa kimya.