Hivi zimbwe alimkosea nini kocha Da Rosa

Hivi zimbwe alimkosea nini kocha Da Rosa

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Order ya u captain simba ilikuwa ni Boko,zimbwe,nyoni,kapombe,manula

Ila kwa sasa ni Boko, kapombe, Nyoni, manula......

Kijana wetu Zimbwe alikosea wapi, kama nidhamu anayo lugha anajua au labda ule ukimya wake uwanjani ni shida?

leo Dodoma kepteni ni manula na zimbwe yuko ndani ..Nyoni,kapombe,boko hawajaanza
 
Zimbwe lugha anajua Kiswahili,not egg
 
Zimbwe huwa hatokei kwenye matukio angalia mechi ya Simba na Prison iliyochezwa Rukwa, wakati wachezaji wa Simba wqakichezewa rafu na refa kukaa kimya ni Nyoni aliyekuwa akienda kumvaa refarii lakini Zimbwe alikuwa kimya.
Hata mimi nilihisi hilo I hope hakuna shida nyingine zaidi ya hiyo sasa leo kepteni ni kipa tukio liktokea ndani kwa mpinzani atatoka yeye kwenda kubishana?
 
Hata mimi nilihisi hilo I hope hakuna shida nyingine zaidi ya hiyo sasa leo kepteni ni kipa tukio liktokea ndani kwa mpinzani atatoka yeye kwenda kubishana?
Yap kwakua kipindi tukio kama hilo likitokea mpira una simama kwa muda
 
Zimbwe n kazi nyingi sana uwanjani nafikiri ndio maana kapunguziwa majukumu hata hvyo sidhani kama kuna ka mshahara ka u captain. Ningekuwa na nafasi ya kuonana na kosha mkuu ningemshauri Zimbwe akacheze namba nane pale
 
Zimbwe mwenye mrembo wake mjini siku ya harusi watu wakampiga picha na tekno wereva
 
Zimbwe huwa hatokei kwenye matukio angalia mechi ya Simba na Prison iliyochezwa Rukwa, wakati wachezaji wa Simba wqakichezewa rafu na refa kukaa kimya ni Nyoni aliyekuwa akienda kumvaa refarii lakini Zimbwe alikuwa kimya.
Mbona leo ( jana ) dhidi ya Dodoma Jiji FC Wachezaji wengi tu wa Simba SC wamechezswa Rafu ila Nahodha wa Siku Kipa Aishi Salum Manula wala alikuwa hajishughulishi Kuzungumza na Kumlaumu Mwamuzi ( Refa ) wa Mchezo?

Kwa kukusaidia tu Kitaarifa ni kwamba kuna baadhi Viongozi Waandamizi wa Simba SC hawapendi kitendo cha Beki Mohammed Hussein Tshabalala kuwa karibu zaidi na Wachezaji pamoja na Viongozi wa Yanga SC wakihisi kuwa huenda anatumika nao Kiru ambacho kwa Tshabalala tunayemjua mpaka huwa anakubali Kuvalishwa ( Kubeba ) Mabomu ( Hirizi ) za Simba SC Pumbuni ( Kendeni ) Kwake ili Kuisadia ishinde kamwe hawezi Kutusaliti au hata tu Kutumika.
 
Back
Top Bottom