Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Zitto ni muda nadhani hayupo sayari hii. Atakuwa sehemu analamba tu Asali. Asikwambie mtu. Nampenda Rais Samia. Hatumii nguvu kuwanyamazisha wanasiasa. Magufuli alikuwa Mjeuri na mbishi. Acha alale huko aliko. Ashakum si matusi.
Wanasiasa wanapigania kupata "Kula" wakipata kula zao tu basi. Wanaunga mkono juhudi. Zitto alikabidhiwa bakuli la asali analamba na hataki hata kumtikisa mama. Mama anapita tu na kindoo anaangalia nani anaelekea kumaliza asali. Anammiminia tena.
Mbowe katoka kapewa na yeye Bakuli lake alambe, anajilamba tu. Umesikia anazungumzia Katiba Mpya? Mikutano kuna wanaoitaka? Ya nini sasa? Utagundua kelele zinatokana na njaa tu. Hamna lolote jingine. Mayala maana yake njaa.
Kelele zinatokana na Mayala tu. Mtu akishapewa Bakuli anatulia analamba, analamba, analamba tena. Wanasiasa wasiwadanganye kitu ndugu wadanganyika. Kama vipi tuanzishe chama chetu Jamii Forums Political Party. JFP Party.
Nimekaa pale 👉