Wana TBC 1, Tanzania safari, TVE, Clouds plus, ZBCWana local channels?
Sio zote mkuu usijaribu utajuta siku bando likikata. Nenda Azam TV na startimes ndo utazifaidi localsWana local channels?
Mambo ya movies na documentary vp hukoNauliza tuu maana mko kama mnatania vile,
Channel mlizonazo hovyo hovyo,
Local channels hakuna,
Hebu rejesheni local channels kama kulipia siso tutalipoa tu
Bila hivyo jiandaeni kufunga biashara hatuwezi kuwabembeleza kila siku wakati vinga'muzi ni vingi
Shubhaamt