Hivi zuku mko serious na biashara au mnajaribu

Hivi zuku mko serious na biashara au mnajaribu

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Nauliza tuu maana mko kama mnatania vile,
Channel mlizonazo hovyo hovyo,
Local channels hakuna,
Hebu rejesheni local channels kama kulipia siso tutalipoa tu

Bila hivyo jiandaeni kufunga biashara hatuwezi kuwabembeleza kila siku wakati vinga'muzi ni vingi

Shubhaamt
 
Nunua Dstv mkuu, isitoshe wameshusha bei zao.
Azam wakati imetoka, niliishoboke sana,
baada ya muda nikawaona wananiletea mambo yenye DNA za kiislamu, nikawaweka kando.
 
Nauliza tuu maana mko kama mnatania vile,
Channel mlizonazo hovyo hovyo,
Local channels hakuna,
Hebu rejesheni local channels kama kulipia siso tutalipoa tu

Bila hivyo jiandaeni kufunga biashara hatuwezi kuwabembeleza kila siku wakati vinga'muzi ni vingi

Shubhaamt
Mambo ya movies na documentary vp huko
 
Back
Top Bottom