Hivii kuoa/kuolewa...

Bora ukose uaminifu huku mume hajui kuliko kujenga uhusiano na mwanaume mwingine mume anajua.
Kama unajua udanganyifu ni hulka ya mtu basi fahamu pia mazoea huweza kuzaa tabia, na mwishowe usaliti.
Adui hana alama, hata shosti wako wa tangu primary anaweza kukutafunia mumeo.
 
Kwahiyo kwa mkeo kua na rafiki wa kiume ni kukupa sababu ya kumhisi vibaya???Kwanini na wewe usiamue kumuamini mpaka pale utakapoona urafiki ule sio urafiki mzuri???
 
Nyie nimewagundua ni wabinafsi sana....hamwezi kushindwa kumwambia mke ''marafiki zako wote potezea mbali mimi nakutosha''!!!
 
Huyu Lizzy tumsamehe tu
Si alishasemaga hana hisia za kike, bali anazo za kiume
Yaani hana hisia za wivu, hata akiona mume wake ana cheza dansi na shosti wake wameshikana viunuuuuuuuuu
 
Huyu Lizzy tumsamehe tu
Si alishasemaga hana hisia za kike, bali anazo za kiume
Yaani hana hisia za wivu, hata akiona mume wake ana cheza dansi na shosti wake wameshikana viunuuuuuuuuu

Hahahahhahha
Kuna mipaka bwana...ila sio kumkataza mtu kabisa!!!
 
Nyie nimewagundua ni wabinafsi sana....hamwezi kushindwa kumwambia mke ''marafiki zako wote potezea mbali mimi nakutosha''!!!

Huu ubinafsi ndo utanilindia mke wangu na kuzuia mianya yote ya kutongoza my waifu.
Sitaki mzaha
 
Lizzy, frankly nikumbushe tena wenzangu wa jinsia zetu kwamba kukubaliwa kua B.F/Mume si kigezo cha kumiliki uhuru wa mwenzio ...ulipomuaproach alikua na marafiki zake na kampani hivyo kumkatiza si uungwana...Muhimu ni kukaa chini na kuelezana pale panapotokea hali inayotia mashaka kwa upande wowote...binafsi whom niliyesign naye domestic agreement nilimkuta social na simlazimishi abehave ki consevative km mimi...thus all!
 
Kwahiyo kwa mkeo kua na rafiki wa kiume ni kukupa sababu ya kumhisi vibaya???Kwanini na wewe usiamue kumuamini mpaka pale utakapoona urafiki ule sio urafiki mzuri???

Ya nini nisubiri mpaka nione urafiki wao si mzuri wakati kitendo chao cha kuwa na urafiki wa karibu tayari ni sababu tosha ya kuharibu ndoa? Unataka nisubiri hadi nione kitu gani? Niwafumanie wakiwa uchi au wakilana denda? Asilani!

Kumbuka yaliyompata mke wa Juliasi Kaizari. Eniwei haya ni mambo ya maamuzi binafsi. Wewe kama unaweza ku handle mumeo kuwa na marafiki wa kike then it's all gravy. But I have seen scores of couples end their marriage due to one or sometimes both of them sleeping with their closest friends or people close to them. Does Arnold ring a bell?
 
Hahahahhahha
Kuna mipaka bwana...ila sio kumkataza mtu kabisa!!!

Mazoea hayana mipaka
We si unataka kuzuia usaliti tu
Kucheza dansi mumeo ameshikana na shosti wako viunu kuna usaliti wowote hapo?
 
Nyie nimewagundua ni wabinafsi sana....hamwezi kushindwa kumwambia mke ''marafiki zako wote potezea mbali mimi nakutosha''!!!

Ndo maana ndoa za siku hizi hazidumu kabisa. Mimi babu na bibi yangu bado wako pamoja. Sijawahi kumwona au kumsikia bibi akiongelea rafiki yake wa kiume hata siku moja. Vivyo hivyo kwa babu.

Lakini katika zama hizi ni vigumu sana na ndo maana ndoa nyingi ziko kwenye life support kama bado hazijafa kabisa. Mtu anang'ang'ania marafiki wa jinsia iliyo tofauti na yake huku yuko kwenye ndoa halafu eti anategemea kuwa na ndoa nzuri yenye amani? Kama ni hivyo si muweke wazi tu kuwa ndoa yenu ni ndoa huria (open marriage).

Ni heri kuwa singo kuliko kuwa kwenye ndoa na mtu mwenye marafiki lukuki wa kiume.
 
Hivi wewe leo unaongea lugha gani? “Kille” ndo nini sasa?

Mzazi
Asikuzingue huyu binti
Hata hilo linaweza kuwa ni tusi tu
Labda maana yake utakuta ni ZEZETA
:becky:
 
Kwa hii kauli, ngoja nikuamkie kabisa . .. . "shikamoo Ngabu Kamanda"
Umenena Man
 
Huu ubinafsi ndo utanilindia mke wangu na kuzuia mianya yote ya kutongoza my waifu.
Sitaki mzaha

Sanaa!Naungana na wewe 100%Yani sishauri hata kidogo,practically NOT applicable to me.
 
Now THIS...is my kinda thinking!!
 
Nyaniizzo na Sipiyu kama nawaona vile mnavyoandika kwa hisia!!Poleni bana ila kumuoa mtu haina maana una hati miliki mpaka umbadili hata kwa yale yasiyo ya lazima!!
 
Now THIS...is my kinda thinking!!

Keep thinking that way and see if you'll get a man willing to put a ring on it. And if and when he does, keeping talking to your other guy friends and see what will happen.
 
Nyaniizzo na Sipiyu kama nawaona vile mnavyoandika kwa hisia!!Poleni bana ila kumuoa mtu haina maana una hati miliki mpaka umbadili hata kwa yale yasiyo ya lazima!!

Tunatoa maoni yetu tu na tunatambua kuwa watu tumetofautiana. Wewe kama wa kwako hana tatizo na hilo basi ni bien tu. Nadhani watu wengi kama si wote wana sampuli zao hapa duniani. Wapo wengine ambao wala hata hawajali wewe ukimegwa na farasi sembuse mtu! So to each his/her own.
 
mimi napenda kuwepo agreement toka mwanzo
kuwa uki cheat tu,hatua ntakazochukua ni hizi na hizi

and i own a gun by the way lol
 
mimi napenda kuwepo agreement toka mwanzo
kuwa uki cheat tu,hatua ntakazochukua ni hizi na hizi

and i own a gun by the way lol

Hahahaa Bossman…..a good soldier never telegraphs his next move!

Yaani umwambie kuwa akifanya hivi na vile kitatokea hiki na kile? Huoni kama hapo utamfanya naye aboreshe mbinu zake za wewe kutokugundua alichokifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…