Hivyo ndivyo vijana wa kazi wa Kitanzania wanavyoturudisha nyuma na kututia hasara kubwa

Mzee wa Kujamba unatoa vitu now.
 
Pole sana ndugu. Ipo siku vijana wa nchi zingine watachukua kazi za wazawa. Mimi pia niliwahi kupoteza hela nyingi kwenye biashara ya ushonaji... nilijiambia siku nikirudi kwenye hiyo kazi nitaleta washonaji toka Pakistan ambao wanapiga kazi kwa ubora wa hali ya juu kwa mshahara mdogo.
 
Pole sana. Ila umejua kunichekesha wallaih, hahahaaaa. Sijapata picha ulipokuta miche imeota, hahahaaaa.

Nimecheka sana aisee, sio kwa karate ulizompa.
 
Hakika mkuu kama mtaji unaruhusu unafanya hivyo tu
 
Kiukweli ngozi nyeusi tuna tabu sana. Mtu anakuamini anakupa maisha bado unaamua kumsaliti. Ndio maana maendeleo yetu hayasogei mbele kwa sababu kama hizi. Sasa inafikia hatua mtu anaamua kuajiri wahindi na waarabu. Kwakweli huwezi kumlaumuh
Mkuu mimi siwezi laumu kabisa. jiulizeunakopa hela ya riba ili familia yake ile lakina bado anakuona mavi ya nyoka
 
Sasa mbona hujamaliza kuelezea? Ulim
Ulimfanyaje huyo binamu yako?
 
Mkuu unajua hawa maboss wa company kubwa Barrick Shanta nk hawajui hata underground kukoje na bado biashara zao zipo kizazi hadi kizazi? kwanini Tz pekee lazima uwepo site mwenyewe je utaweza vipi kama una miradi sehemu zaidi ya2?
So unajifananisha nao?
Mifumo kaka,hauna mifumo kama yao
Huwezi kulima kwa simu africa hada small scale farming
 
Sasa mbona hujamaliza kuelezea? Ulim

Ulimfanyaje huyo binamu yako?
Kwanza alienda na pikipika. chimboni akaanza kuisombea mawe. Kila nikamwambia ailete ananipanga ikabidi nisafiri kuifuata.sikuitaji hata kumuuliza ilikuwaaje nilichukua pikpik japokuwa ilikuwa imeharibika hata taa haziwaki break hamna Kwa kifupi ilikuwa inahita Hela.

Nilirudi baila kuongea nae kitu kuhusu shamba Hadi leo
 
Pole sana. Ila umejua kunichekesha wallaih, hahahaaaa. Sijapata picha ulipokuta miche imeota, hahahaaaa.

Nimecheka sana aisee, sio kwa karate ulizompa.
Usinikumbushe,yaani nilikuta kifua kinajaa ghafla kama nashindwa kupumua flani hivi,nikafanikiwa kuishusha,angetokea mapema basi ningepiga tukio dunia ingeweka katika kumbukumbu
 
Noma sana.
 
Kweli changamoto Sana,Mimi naililia milioni moja na km laki tatu ilipotea yote Mazima.
Kuna jamaa tulikubaliana kulima pamoja,then tugawane faida mwishoni,Ni jamaa nilikuwa namwamini kabisa.
Kazi ikaanza,tukakodi shamba,akaweka kila kitu sawa na pesa nikatoa,Tena ya mkopo,hahahaha.
Kwa vile ilikuwa mkoa jirani jamaa akawa anaenda Mara moja moja kucheck shughuli na kila Mara alikuwa akinipa updates.
Kilimo kilikuwa Cha vitunguu kwa njia ya umwagiliaji,.
Eebwaneee,shughuli imekwenda ile karibu kuvuna,story zikaanza,maji yameisha bwawani so tutafute namna nyingine,Mara wafanyakazi wametoroka ,daaaa.
Mwisho kabisa sikupata hata shilingi kumi.
Kuanzia hapo nikapata SoMo kuwa ukitaka kazi yako iende vizuri,jitahidi kuisimamia mwenyewe kwa aslilia kubwa.
 
Pole
Mhhhhh,kwa hiyo nyie ndo mlimsaidia kuchimba kaburi mazishi??
Mliendelea kuishi na uncle baada ya hilo tukio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…