Hivyo ndivyo vijana wa kazi wa Kitanzania wanavyoturudisha nyuma na kututia hasara kubwa

Pol
Pole sana mkuu mzaramo na kazi za shamba ulichemka sana hapo
 
Dah!mimi Mungu aliniepusha tu maana nikichavuka huwa nakuwa mnyama sanaaa hasa kwenye masuala ya pesa,tangia hapo simuamini yeyote yule kiasi kwamba kila kitu nataka nifanye mimi mwenyewe,
 
Usimuamini mtu aise,mimi nilipigwa consecutively
 
Ah!!! Vibaya mnoo,tena mnoooo ,na alikuwa anapenda kugonga mayai noma
🤣🤣🤣 na kula kote mayai akili hakufanya kazi na bado alikosea hesabu za mbegu🤣🤣🤣 wavivu sana hawa watu
Juzi niliita mmoja asambaze kakifusi kaeneo kadogo tu akaenda kuita wenzake wakawa watatu kazi ya kufanya mtu mmoja wanataka 80elfu niliwatoa nduki
 
Zamani nilikuwa namaindi sana nikiona taasisi na kampuni nyingi za kigeni zikiajiri Zaid wakenya kuliko wazawa(wabongo)... Lakini baada ya Mimi kuanza kujichanganya Kwenye soko la ajira na kuona jinsi gani wabongo tunavyozingua na hatuna seriousness na kazi Zaid ya kuwaza malipo tu, Sasa hivi hata nikiskia TBL wameajiri warundi na hawajaajiri mtanzania hata mmoja nitawaona wako sahihi kabisa.
 
Mr Ukifa mke wako asiolewe kwanza nakupa pongezi kwa kuwa umekuwa ni kawaida yako kushare Tips za michongo na maisha. Na mimi nimekuwa nikijifunza sana kutoka kwako.

Pili nikupongeze kwa kuqa mpambanaji na unanitia moyo sana.

Ukisikia mtu anakulaumu kwa kulima kwa mutumia simu basi huyo naye hajielewi. Maana mtu mmoja hawezi kucanya kazi 5 kwa wakati mmoja lazima upate wasaidizi.

Hii ni Tabia ya Mtu Maskini. At time anaweza kujjfanya mchapa kazi lakini ile hulka ya uvivu itajionesha tu.

Imagine mtu kama huyo umempa ulaji na mchongo. Kabla hata hamjavuna ameshaanza kutafuna Starehe na ngono( Laan hii).

Hata sasa tunapokea simu nyingi za watu wakiwemo ndugu zetu kutupiga vibomu maea elfu 50, elfu 30 au hata buku teni. Wengine wanatuomba ada ,a watoto wao.

Sasa mwambie aisee njoo mjini kuna kazi yenye hela tuifanye. You will be surprised akijitahi ni mwezi mmoja na si zaidi ya miezi mitatu. Ataikimbia na atakutangaza kwa watu eti unamnyanyasa.

Wao wakikuona uko mjini unaenda na Mndinga wako wanadhani pesa unziokota kumbe na wewe una henya sana.
 
Yaani vijana wa siku hizi wamekuwa machoko sana. Wanarahisisha sana maisha ambayo hawana
 
Umenena vyema. Katika ku share tips za maisha nampa maua yake.
Unatupa hamasa ya kupambana vijana wenzio.
 
Na wanateka watu sio kwamba wakifanikiwa mzigo wanampelekea la hasha! Ila ikikwamba ndio utasikia alikuwa akitekeleza majukum, kumbe jambazi tu
 
Watz mafanikio tunayapenda kwenye mdomo tu kwa inspirations za uongo. Ila kwenye field sasa ni zero.
 
wameweka tamaa mbele badala ya kazi
Hizi nyimbo za Simba na group lake linawadanganya sana. Ukizisikiliza utadhani Maisha ni kama maji. Zinaimba Anasa na starehe tu. Lakini hazisemi hizo starehe unazila vipi bila kazi bila pesa.

Tofauti na enzi zetu Wagosi wa kaya, TMK Family, J Nature, Inspector Harun Nyimbo zilitufundisha ukakamavu, kupiga kazi ngumu bila kuchoka na kukaza kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…