Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #101
Mkuu hakika mimi miaka kama 3 nyuma nilikuwa nafanya mwenyewe na vibarua tu. Baadae nikapata ajira ndo nikaanza kutumia watu hivi nina Exprience kiasi chake kuhusu ufagaji na kilimoKama una muda hata kidogo tu, ingia field mwenyewe uyaoge. Kuna experience flani utaipata tena kwa sisi tuliozoea kukaa town miaka nenda rudi ni adventure nzuri pia....more money
Inasikitisha sana na hakuna jinsi ishatokea.Kazi kwelikweli,unampa mtu kazi yeye anaamua kuipotezea au kuiua kabisa,Hana uchungu na garama uliyoingia,Hana wazo juu ya matarajio yako.acha tuu
HAKIKATanzania inabidi u micromanage, hamna alternative. Kila project: biashara, kilimo, kujenga, lazima u micromanage, otherwise, utaibiwa tu. Wabongo wengi ni waizi. The naked truth!
Hii inaacha maumivu sana na ndio maana kuna wengine huwa wanarogwa vibaya mno. Huyu jamaa nimeshamwambia akishupaza shingo atakuja kujuta muda sio mrefuMwambie asijaribu hata kidogo, huyu ndugu yake labda amfanye kibarua tu lakini sio kuwa mtendaji mkuu, ataumia.
Mwaka 2016 Kuna dogo nilikuwa nafanya nae biashara ya samaki na dagaa kuwatoa mwanza kuwapeleka Dar, mtaji ulikuwa wangu, yule dogo ni mtoto wa rafiki wa karibu wa bimkubwa wangu, yaani mama zetu ni watu walioshibana na wanatoka sehemu moja, hivyo tulikuwa tunachukuliana sisi ni kama ndugu.
Mimi kazi yangu ilikuwa ni kununua mzigo huko mwanza maeneo ya mwaloni na kisha kumtumia ambapo yeye kazi yake ilikuwa nj kusambaza tu Kwa wateja na kukusanya hela basi, na uzuri soko la dagaa siku zote huwa lipo tu wateja sio wa kutafuta sana.
Hili kumfanya afanye kazi kwa moyo mmoja na asijhisi kama namnyonya kwa namna yoyote ile, faida iliyokuwa inapatikana tulikuwa tunagawana 50/50.
Nakumbuka kipindi hicho tulikuwa tunauza kwa kilo ambapo kilo Moja ya dagaa tulikuwa tunauza 4,000/= na samaki ilikuwa ni 2,600= au 1,700/= kunategemea na aina ya Samaki, na mzigo wetu ulikuwa haukawii yaani ukifika tu ndani ya siku Moja unagombaniwa na wateja.
Sasa basi tumefanya kazi vizuri KABISA miezi kama minne ya mwanzo, baadae mwenzangu akaja akaniambia tuachane na samaki tudeal na dagaa tu ndio zinaenda kwa haraka, na kweli nikakubaliana na wazo lake hivyo tukawa tunafanya uchuuzi wa dagaa tu basi.
Kumbe bwana mwenzangu huku tayari siku nying sana alishanizidi akili. Miezi yote hiyo tunafanya nae kazi Mimi najua dagaa anauza 4,000/=per kg kumbe mwenzangu alishawapandishia wateja bei ya daga siku nyingi sana anauza kilo moja 5,500/= na Mimi Sina taarifa yoyote.
Kwa hiyo kumbe hata faida tuliyokuwa tunagawana nae ni ile iliyokuwa inatokana na hesabu ya 4,000@kg..... Imagine na nilikuwa namtumia mpaka mzigo wa 300kg kwa wiki, kwa hiyo yeye alikuwa ananufaika zaidi yangu Mimi Tena kwa kiasi kikubwa sana kwenye biashara ambayo Mimi ndio nilimkaribisha na ndio nilitoa capital kwa 100%.
Kwa baadae nikajagundua kumbe hata lile wazo lake la kutaka tuachene na samaki kisha tudeal na dagaa tu ni kwa Sababu ya hiyo bei aliyokuwa ameongeza kinyemera nyemera kwenye dagaa, kwenye samaki haikuwa rahisi na pia wateja wa samaki walikuwa sio wengi sana kama wa dagaa.
....niliwaza sana siku nilivyogundua dogo ananifanyia mchezo mchafu kiasi kile, yaani licha ya Mimi kuweka mgao sawa wa faida lakini Bado alitafuta njia ya yeye kunufaika kuliko Mimi, siku hiyo ndio niliamini binadamu(hususani mbongo) hawafadhaliki hata kidogo.
Kwa hiyo na huyo jamaa mwambie aache kabisa ujinga wa kuamini amini ndugu, huyo ndugu yake mwambie amfanye kibarua wa kuwa anamwagilizia tu basi.
Mkuu haihitaji kujiuliza mara2 kifupi umepigwa. Tunachsema hapa sio story za vijiweni zimetutokea wenyewe achana na ya kusimuliwa nayo tunayo mengi tu.Naanza kuamini kumbe kwenye miradi ya gu nimepigwa sana
Mkuu ratiba ipo palepale february au machi naanza kwa ukubwa zaidi mkuu.Mkuu jipange ulime tena,mimi npo kama msimamiz ingawaje sjui hzo inshu za bustani ila tutapambana
Mkuu nipe kazi hyo nataka kujifungia poriMkuu ratiba ipo palepale february au machi naanza kwa ukubwa zaidi mkuu.
Mkuu tuwasiliane muda ukifika saivi nakusanya nguvu. uko wapi?Mkuu nipe kazi hyo nataka kujifungia pori
Utajiri halisi huu wa kufuata procedure ni mgumu sana ila ule wa magumashi ni chap tuItoshe kusema utajiri ni mgumu mno
Sawa,hzo picha nahis ni kwenye haya mazingira yangu,sengeremaMkuu tuwasiliane muda ukifika saivi nakusanya nguvu. uko wapi?
Hapana sema ni jrani tu kama unapajua nyamtukuza mkuu ndo maeneo hayo au senta maarufu ni nyijindu.Sawa,hzo picha nahis ni kwenye haya mazingira yangu,sengerema
Sipajui na sjawah kupasikiaHapana sema ni jrani tu kama unapajua nyamtukuza mkuu ndo maeneo hayo au senta maarufu ni nyijindu.
Ukitoka ngoma Kuna busolwq baada ya busolwq senta kubwa inayofutia ni nyijundu mkuu. Uliza nauli nahisi 4000 HiviSipajui na sjawah kupasikia
Minazi sijawahi lina mkuu umesoma vibaya.Mkuu pole kwa masahibu. Enhee ikawaje ? Umeendelea na kilimo cha minazi? Na Je umefikia wapi? Niko interested na kilimo hiki natamani kupata ABC zake
Kumbe ni uelekeo huo wa ngoma sawaUkitoka ngoma Kuna busolwq baada ya busolwq senta kubwa inayofutia ni nyijundu mkuu. Uliza nauli nahisi 4000 Hivi
Wanakuja wanyarwanda mkuuSoko lako unalopelekaga mzigo ni wapi