Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani ya kiimani, furaha na huzuni....
kwa mwenendo na tabia yako ndani na nje ya familia, na zaidi sana katika jamii inayokuzunguka, yaani majirani, ndugu jamaa na marafiki, huja notice kitu chochote cha kuboresha au kuepuka kwenye maisha yako ili uwe na uhakka zaidi wa kuoa au kuolewa....
Je, unaweza kua husband au wife material kweli ikijiasses wewe mwenyewe, hasa wewe kijana ambae ndio kwanza unajitafuta kwenye mauhusiano na pengine uchumba...
mahangaiko ni mengi sana hivi sasa, hasa kwa ambao wako tayari kuoa au kuolewa na umri unasonga.
mitindo ya maisha yao, tabia na mienendo yao yenye kutia hofu na mashaka, imefanya wengi mpaka sasa wamefika hatua ya kukata tamaa kwamba hawawezi kuoa wala kuolewa...
sio vizuri kukata tamaa hata kidogo,
hujachelewa, muda bado upo, ni kiasi cha kujifanyia tathimini mwenyewe, kuwa mstahimilivu na mwenye subra, kujisahihisha, kujirekebisha na kujiformat upya kwa utaratibu wa kumshirikisha Mungu katika nia, matamanio, haja na ndoto za kusudi la moyo wako katika maisha ya kifamilia unayohitaji....
na kwa Neema na Baraka za Mungu utafanikiwa kuoa au kuolewa kwa wakati muafaka wa Mungu...
UBARIKIWE SANA MPENDWA UNAPOJIFANYIA TATHIMINI, KUJISAHIHISHA NA KUJIANDAA KUELEKEA KUOA AU KUOLEWA..