Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Hiyo sehm ya kusaka vipaj wazingatie piakusaka vipaji na kuwapeleka kwenye academy
Ndio mkuuHiyo sehm ya kusaka vipaj wazingatie pia
Wewe unadhani kuna timu ya kutoa ubingwa hapo?🤣 hapo anajua wazi kuqa hela yake haiendi popoteNataka niwashauri viongozi kwamba kama dhamira ni kuwapa hamasa wachezaji msitoe ahada za jumla jumla....
Toeni ahadi specifically kwa wachezaji...
mkitoa ahadi kwa jina la timu ya Taifa......hizo fedha zitakuwa za federation....na TFF itazi-control fedha hizo accordingly....kwa visingizio kibao.
By the way, TFF inaweza kutumia ahadi ya fedha hizo kama excuse ya kutotumia pesa zake zilizotengwa kutumika kwa ajiri ya bajeti ya Taifa stars.
Kuigharamia timu ya taifa ni wajibu wa TFF..
Serikali ku-re-allocate fedha Kwenye sehemu ambayo fedha zilishatengwa tayari ni kutengeneza mianya ya wahuni kuficha fedha.