Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Mkuu tuombe uzima aisee, wanasiasa usiwasikilize mkuu mnawasikiliza sana na hii nchi sio mali yao ni ya wote mastaa
 
Taja mkoa wowote Tanzania ambao KM 50 pande zote pamejengeka
Uchumi sio kujengeka unaweza kujenga Km 50 hafu ni vibanda au unaweza Jenga km 50 hafu bado hazikizi mahitaji wengine wakawa wanalala nje.
 
Tunatakiwa kwanza tusolve tatizo la umeme ndio hizi operation zitaenda smooth au nasema uwongo ? Tunaestablish maviwanda makubwa ya umeme mkubwa wakati umeme wa kuwasha tu majumbani hautoshi tena kwa house holds ndogo zilizopo Tanzania, alafu unataka niamini establishment ya viwanda vikubwa vitakavyokuwa vinatumia umeme mkubwa ? Jaribu kulogic vitu kichwani mkuu, Tuna source moja tu ya power, tutayatekeleza vipi uliyoyasema bila reliable source of power ? …Viongozi wako wapo sijui zambia au malawi kama sikosei wanaenda kuanzisha partnership ya kutengeneza alternative source of power na nchi nyingine hela wameiba huku..
 
Dodoma haiwezo kuikuta dar hata kama dar itasimama kujengwa kwa miaka 10
Mbona unakosa kujiamini na hoja zako mkuu , trajectory ya mada yako inaielezea dodoma !!! Sawa tufanye hapo sijakuelewa , ni mkoa upi unaouongelea ambao utakuja kuipiga bao Dar ?
 
Kama ni kule ludewa Kuna makaa ya mawe yakutosha sidhani kama umeme ni tatizo Kwa kule.
 
Sahihi kabisa ! Pwani kwa sasa ndio mkoa kinara wa viwanda , bahati mbaya pwani yenyewe haina banking facilities za kuweza kutosheleza viwanda vya pwani. Matokeo yake viwanda vingi vya pwani vinafanya shighuli za kibenki na mauzo Dar.
Mfano Keda tiles ipo chalinze ofisi kuu ipo shekilango.
 
Watu wanavyosema Dar unadhani hakuna biashara mpya zinazaliwa Dar au wanadhani dar itasimama kuiacha hio mikoa ije,
Dar hata isimame kujengwa kwa miaka 10 bado hakuna mkoa utaifikia , kitendo cha mkoa wa viwanda wa pwani tu kuizunguka dar ,tayari mnufaikaji mkuu ni Dar es salaam.
Halafu watu walilishwa ujinga na mwendazake kwa kuaminishwa kuwa serikali inaweza kuhamisha mji kwa kuhamasisha ujemzi wa mji husika mama ilnavyofanya Dodoma.
Matter of the fact ni kuwa miji hujengwa na wafanyabiashara sio serikali, nahii ndo inaifsnya Dar iendelee maana ni potential hub.
mfanyabiadhara haweki pesa yake sehemu ambampo hakuna mzunguko. Sewahaji ndo alichagua na kujenga hospitali ya muhimbili akitokea bagamoyo , leo hii ndio hospitali kubwa Tanzania.
 

Mtu aliyeizoea dar labda umpeleke mwanza ndio ataacha kwenda weekend 😁😁

Ila hata hata moro hapo watu wengi sana weekend wapo dar, jumatatu wapo ofisini na ni kweli hii nchi bado sanaaa na ukiingia vijijini kuna umaskini wa kutisha
 
Mtu aliyeizoea dar labda umpeleke mwanza ndio ataacha kwenda weekend 😁😁

Ila hata hata moro hapo watu wengi sana weekend wapo dar, jumatatu wapo ofisini na ni kweli hii nchi bado sanaaa na ukiingia vijijini kuna umaskini wa kutisha
Kweli mkuu we angalia hata apo dodoma unajua sio mbali hata na kongwa hapo ila kongwa unapaonaje ? Watu wengi wanasema tu hawajazunguja hii nchi wakajipnea man, ni changamoto sana…
 
Kweli mkuu we angalia hata apo dodoma unajua sio mbali hata na kongwa hapo ila kongwa unapaonaje ? Watu wengi wanasema tu hawajazunguja hii nchi wakajipnea man, ni changamoto sana…
Dodoma hutakiwi kutoka hata km 40 kushuhudia umaskini wa kutisha maana ni pakame na zile nyumba za tembe sio mchezo.

Na ubaya Dom life ni expensive na serikali ikihamia full itakuwa shida zaidi. Bora hata ya dsm watu wa kipato cha chini wanaweza kupata life flani Ila Dom sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…